Leo tarehe 17 Desemba, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ulisherehekea Wiki ya Utamaduni wa Usalama kwa mwaka wa tatu mfululizo, kufuatia maelekezo ya Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO). Shirika hili linazitaka nchi wanachama kuhakikisha viwanja vyote vya ndege vinaadhimisha tukio hili muhimu kila mwaka. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro umekuwa ukitekeleza jukumu hili kwa mafanikio kwa miaka mitatu mfululizo.
What attracts tourists to tanzania
` Deemed one of the most sought-after and wildly diverse safari and wildlife destinations in Africa, people travel from all corners of the globe to experience Tanzania's extraordinary wildlife sightings and encounters firsthand.
Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro
The beauty at the peak at this location. Explore →
Hifadhai ya Taifa ya Ziwa Manyara
The beauty at the peak at this location. Explore →
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti
The beauty at the peak at this location. Explore →
Ngorongoro Conservation Area
The beauty at the peak at this location. Explore →