Maduka yasitoza ushuru wa bidhaa
Katika uwanja wa ndege wa kIlimanjaro kuna duka maalumu liuzalo bidhaa zisizotozwa kodi. Duka hili linahudumia wasafiri wa waondokao kimataifa tu. Ndani ya duka hili kuna bidhaa mbalimbali kama vile bidhaa za ngozi, elekroniki, manukato na vinywaji.